JERAHA LISILOTIBIKA (1)
(LOVE STORY)
O713111547 WHATSAPP
``Jamani mkamateni huyo mkamateni jamani mambo haya bwana anatuabisha wanawake wenzake mkamateni tafadhali mkamateni ‘’ kelele zilisikika kila kona wanawake walimimbilia na kumfunika kwa kanga maana winny alikuwa uchi kama alivyozaliwa ,alikuwa uchi wa mnyama ,kila mtu alishangaa na kusema
``Hivi winny amekosa nini jamani ni kitu gani kimemkuta jamani ,hakuna aliyekuwa na jibu ila hali ya winny ilikuwa mbaya sana afadhali kichaa
Mama mzazi wa winny na baba mzazi wa winny wala hawakusema kiti walibaki kuangalia vimbwanga vya mtoto wao ama kweli hali ilikuwa mbaya mno na haielezeki
SONGA NAMI
Winny ni msichana aliyekulia katika mazingira ya kitajiri na kifahari mno ,mbali na utajiri wa wazazi wake winny alikuwa amejaliwa uzuri usioelezeka kila mmoja alimbatiza jina aliloona lina mfaa wengine walimwita malaika ,wengine walimwita Kisura ,ama kweli winny alikuwa na mvuto wa kipekee na usioelezeka ,baba mzazi wa winny alikuwa akifanya kazi katika kampuni kubwa ya udalali ilikuwepo jijini Dar kila siku jioni alikuwa akipitia shuleni kumchukua mwanae hakutaka kabisa binti yake arubuniwe na vijana au ajiingize katika mambo yasiyofaa na kwa kiasi kikubwa baba winny alifanikiwa kwani aliweza kumthibiti mwanae kwa kiasi hicho winny mpka anafika kidato cha tatu hakuwahi kuguswa na mwanaume yoyote ,siku zilienda na miezi ilikata
Siki moja usiku winny akiwa sebuleni akiwa anatamaza tamthiliya moja ya kikorea ambayo ni ya mapenzi mama yake mzazi alimfuata na kuanza kumsemesha
``Mwanangu winny wewe ni msichana kuwa makini mama jitahidi kuepuka vishawishi sawa ,wanaume siyo watu ni zaidi ya wanyama ,leo watakuchekea wakijifanya wanakujua ila kesho wakishapata wanachokitaka wanakutema kama muwa tu siunajua tena mtu anayekula muwa anavyofanya ,anautafuna anatoa utamu wote na baada ya hapo anautema ‘’
``Sawa mama nitajitahidi japo changamoto ni nyingi kila siku mama yangu ila nakuahidi nitajitahidi kabisa kutokufanya jambo lolote baya
``haya sawa mwanangu ,unaniona mimi mama yako enzi nikiwa binti nilkuwa mzuri wewe ,nilikuwa kisu ,nilikuwa kisura kila aliyekuwa akiniona alikuwa akimeza mate kwa matamanio ila mwanangu nilijitahidi kusimamia misimamo yangu kama mtoto wa kike na baada ya hapo mambo yalikuwa sawa niliolewa na baba yako mwenye mali kedekede na maisha mazuri ,nilikuwa mzuri wewe wacha kabisa’’
``hahaha mama ulikuwa mzuri lakini unifikii mimi mama angu hahah;’’ winny alisimama na kuanza kujishika kiuno na kujiviringisha mbele ya mama yake
``hahahah mwanangu binadamu tunazeeka wewe kiumbo chako icho mtu akikupa miaka yangu utakuwa umeshakongoroka bora na mimi’’
Wote walicheka kisha mama winny alikwenda kulala na kumwacha mwanae sebuleni
Winny laity kama angesikia maneno mama yake aliyomwambia kwani yalikuwa ni maneno muhimu sana kwake na ni madini muhimu kwa afya na maisha yake kwa ujumla
Winny alipofika kidato cha nne baba yake mzazi alipangwa kikazi Mbeya hivyo alilazimika kuondoka na kuelekea mbeya ,,wanasema ``paka akiondoka panya utawala ‘’ hali ya winny ilianza kubadilika utadhania ni kuku aliyekuwa amefungwa kamba kwa muda mrefu na kuachiwa ghafla
Winny kila siku alikuwa akitembezwa na gari la baba sasa kwa sasa anatembea kwa miguu yake mwenyewe ,,njiani kila mtu alikuwa akisema
``we malaik jamani unatembeaje uwiiiiii malaika eeee’’
Ama kweli winny alikuwa ni mzuri sana ,kila aliyekuwa akimwona alikuwa akijikuta akimbatiza jina lake lililokuwa karibu na mdomo wake ,mara kisura ,,kisu ,malaika cha urembo
Winny taratibu taratibu kichwa kilianza kuvimba ,kidogo hali ya kujisikia ilianza kumtokea ,winny alianza kujiona bora sana kuliko wenzake na hili ni tatizo kwa upande wake
Baba mzazi wa winny akiwa mbeya karibu kila siku alikuwa akipiga simu na kusema
``Jamani mke wangu mwanangu winny ,yuko salama jamani ,yuko salama mwanangu’’
``Ndio mume wangu ni mzima kabisa ‘’
Mzee Samson akisikia hivyo alikuwa akipata amani kwani alikuwa anampenda sana winny wake kuliko kila kitu
Siku moja majira ya saa kumi za jioni ,wanafunzi wakirejea makwao ,winny alikuwa nyuma kabisa kwani hakupenda sana kuongozana na kikosi cha wanafunzi wengi wengi
Winny akiwa anatembea alisikia sauti ikimwita
``Winyyyyyyyyy’’
Kwa mshangao aligeuka nyuma kutazama sauti ile
Alipogeuka hakumwona mtu yoyote aliyemwita ,aliendelea kusonga mbele alisikia sauti ile ikiita tena kwa nguvu
``winnyyyyyyy’’
Winny alipogeuza kichwa nyuma kwa mbali kabisa dirisha la ofisi aliweza kumwona mwalimu bakari akimnyooshea kidole ishara ya kumwambia amfuate
Winny kwa hofu alimfuata mwalimu ofisini ,alitilia hofu kwani hakujua ameitiwa nini na cha kushangaza sana mwalimu aliyemwita ni mwalimu mgeni kabisa katika shule hiyo hana hata mwezi ,mwalimu bakari ni msambaa aliamishwa kutoka shule mojaiiyokuwa Tanga na kuletwa Dar
Winny alipofika ofisini alishangazwea na ukimya uliokuwa ndani pale ,ofisi nzima ilikuwa imetulia ,hakukuwa na mtu yeyote isipokuwa mwalimu bakari
``mambo winny ‘’
``safi shikamoo mwalimu ‘’
``marahaba mrembo habari ya kwako mama’’
``salama ‘’
``najua umeshangaa nimekujuaje wakati mimi sifundishi kidato cha nne yaan huwezi amini nilipofika tu shuleni hapa nilibidi kuuliza mwanafunzi mmoja hivi kale kabinti karembo kanaitwa nani ‘’
Winny kwa aibu aliinamisha kichwa chini
``hahahah nakupenda sana winny wangu jamani au unamwogopa mwalimu ‘’
``hapana mwalimu’’
Mwalimu bakari alikuwa ni fundi na kicheche mwenye PhD huko alikotoka alifukuzwa na kuhamishwa kwani aliwapa wanafunzi sita ujauzito na kibaya kabisa mkuu alilifungia macho suala hili ,mkuu alichokifanya alimtafutia uhamisho tu kama adhabu ‘.
Mwalimu bakari alijua kazi ameshamaliza moja kwa moja alinyanyuka na kuufuata mlango wa ofisi na kuufunga ,aliponyanyuka tu harufu nzuri ya pafyumu ilianza kutokea ila moja kwa moja harufu hiyo iliharibiwa na harufi ya kijambo alichokiachia winny ,winny alimwona mwalimu anafunga mlango alijua leo lazima tu mwalimu amfanyie kitendo cha ajabu
Winny aliogopa kweli hadi alijikuta akishindwa kuzuia ushuzi wake ,mwalimu bakari alimfuata winny na kumwambia
``winny wewe sio mtoto usiogope sawa mwaya ‘’
Maskini mwalimu mshenzi alianza kufanya mambo yake alianza kumshika winny sehemu zake za siri na sehemu nyinginezo ,bakari alikuwa ni hatari sana
Ghafla akiwa anaendelea kumshikashika winny alisikia sauti za waalimu wawili
``jamani nani kafunga mbona mwalimu shedrack alisema hatafunga khaaaaaa’’
Alikuwa ni mwalimu stella pamoja na esta ambao walikuwa wameelekea msibani hivyo vitu vyao vyote vilikuwa vimebaki ofisini
Esta alidakia
``Madam stella naona bado hawajafunga siunaona madirisha yapo wazi ,maskini mwalimu bakari alikuwa amekosea sana kwani alijisahau hakushusha mapazia wala hakufunga vioo
Stella alielekea hadi dirishani ,alipotazama ndani hakuamini macho yake kwani alichokiona mwili ulisisimka na kuhisi kuchanganyikiwa ,alimvuta esta mkono na wote waliweza kutazama …………………..
Je nini kitaendelea mwalimu Bakari atapona kweli na winny nae atafanywa nini na waalimu ,baba mzazi wa winny je mama je ,,,,,,,,,,,,,,,Ni simulizi kali sana haijawahi tokea ipo tayari yote gharama yake ni sh 1000 MOJA KAMA UNA SHILINGI ELFU MOJA
GUSA HAPA KUSOMA YOTE
0 Comments