JINSI YA KUFANYA LAINI YAKO ISIFUNGWE

Ni matumaini yangu mpo salama na mnaendelea vizuri na shughuli za ujenzi wa taifa,Ikiwa tarehe 20 siku ambayo imepangwa na NIDA kuwadia, watanzania wengi mmekua na mawazo sana kuhusiana na laini zenu kuwa mtafanya nini kama itatokea mkazimiwa laini zenu ukweli ni kuwa
1,Ni ngumu sana kufungiwa laini yako hivyo ondoa shaka, zoezi hili lilipangwa kufanyika january 1 ila halikufanikishwa ,,,likasogezwa january 20 pia kwa taarifa zilizotufikia haiwezekani Asante.... Mr, jooh

Post a Comment

0 Comments